Lyrics{Hukujua uzito wa msalaba,
Hukujua gharama ya msalaba,
Hukujua fedheha ya msalaba,
Aliyoibeba mwokozi wetu (Bwana wetu)×2
:/: Akaachwa uchi msalabani,
Akalia kwa sauti kuu,
Baba yangu mbona waniacha
Huo ndio uzito wa msalaba x2
2. Kwamba ni tani ngapi hukujua,
Kwamba ni kilo ngapi hukujua,
Jambo moja hakika ninajua,
Msalaba ulimwangusha chini (Bwana wetu) ×2
:/: Akaachwa uchi msalabani,
Akalia kwa sauti kuu,
Baba yangu mbona waniacha
Huo ndio uzito wa msalaba x2}
Name[KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | UZITO WA MSALABA (Official Music Video)]
Url[https://www.youtube.com/watch?v=oIAqOZVMVM0]
Date[April 8, 2023 at 07:28PM]
Uinjilisti Kijitonyama Choir Lyrics
img
Song Name -
Name Here!
Singer -
Singer1| Singer2
Released -
Release Date Here!
Let's go with brief explanation on this song. This song so tuneful with meaning and good performance. It's singer Singer1 The song title is "Song Name". Tone classic also attractive and meaningful when we hear. It's release date on Date