Follow It's Vin: Instagram:https://ift.tt/HV0xLF8 ... Lyrics Ati hater hanipendi?
Ati we hunipendi?
Ati nani hanipendi?
Kaa hanipendi simpendi
Oh Nono
Buda don't hate
Oh Nono
Buda lenga stress
Usineneenee
Maji yasizidi unga
Usininene
Usipige kelele
We nyamazae
Kisha sakata
We nyamazaae
Fanya ka unakata
Man's gotta a lot to say
But Never say it to My face
Man's gotta lot to say
But juzi nimetrend
nilikuwa 10 over 10
And my boys are fly that's another flex
Aiyoyoo
Kidole cha Kati
Aiyoyoo
Mi sina huo wakati
Si sote tutakufa
Na muda unayoyoma
So
Sakata
Kisha kata
We vunja mifupa
Ati hater hanipendi?
Ati we hunipendi?
Ati nani hanipendi?
Kaa hanipendi simpendi
Oh Nono
Buda don't hate
Oh Nono
Buda lenga stress
Hater tutamchacharaza
Akileta upuzi tutamkanyaga
Tutamh...
Oh Nono
Tutamh...
Tena naskia mitaani ati..
Nampenda mpenda
Msichana mmoja
Aah silali
Aah sikuli
Unanichunguza sana we
Shughulika na kwako
We fagia huko kwako huku kwangu kusafi
Aiyoyoo
Kidole cha Kati
Aiyoyoo
Mi sina huo wakati
Si sote tutakufa
Na muda unayoyoma
So
Sakata
Kisha kata
We vunja mifupa
Ati hater hanipendi?!
Ati we hunipendi?
Ati nani hanipendi?
Kaa hanipendi simpendi
Oh Nono
Buda don't hate
Oh Nono
Buda lenga stress
God bless you y'all.
Song
Artist
Album
Released
Description:- Song Lyrics By are Provided in This Article. This Is a New Song Which Is Sung by Famous Singer . This Song Is from album. This Song Will be Release in .