|
|
|
|---|---|
| Song | |
| Artist | |
| Album | |
| Released | |
Description:- Song Lyrics By are Provided in This Article. This Is a New Song Which Is Sung by Famous Singer . This Song Is from album. This Song Will be Release in .
🎤 Lyrics:
|
Track " "
|
Ewe mshenga nimekuja kwako mimi mnyonge galatix galaholela Shenga, shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia Nilimwambiaga zamani sana anae kupenda umjui
Shenga, shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia Kamuombe anipe (anielewe) Galaholela, holela, holela holela
Mshenga Lyrics by GALATONE
Kuna binti nampenda sana bwana uwe kwangu kama umbrella
Nilimwahidi vitu vingi vingi sana kunisikiza ataki
Nilimwambia sina mali zaidi ya upendo nilicho nacho ni samaki
(Ntakupa samaki)
Yani kwanini nishiji vya ngali mahali nayo nisikize nisemacho mshenga
Ananiona mi poyoyo timanu akili nazo apo wapi nikasake wahenga
Purukushani aniamini awezekani (awezekani)
Uenda labda ni, ni majinuni nilisha acha zamani
(Naumia roho)
Shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Nasema kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Kamwambie kwamba mimi bado naumia roho naumia
(Naumia roho)
Aya mapenzi yalikuwepo zama na zama kuna maziwa na tui
Nilimwambiaga zamani sana anae kupenda umjui
Aya mapenzi yalikuwepo zama na zama kuna maziwa na tui
Ningempa anacho taka angekosa ningekopa ilimradi anikubalie
Moyo wangu umeshachoka amechora makopa mwambie anifikilie
Upendo umeniteka balaa mwambie mi nauguza jelaha
Kama barua Alisha leta mshenga mpaka sasa ata majibu aijazaa
(Naumia roho)
Shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Nasema kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Kamwambie kwamba mimi bado naumia roho naumia
(Naumia roho)
Nafasi nipate (niwe nae)
Tuandamane kote (sema nae)
Na nyuzi nizikate (anhaaa ah)
Kama shamba nimpe (anielewe)
Mikononi nimkumbate (niwe nae)
Kua nae kivyovyote (sema nae)
Waleo na siku zote
|
Track " "
On SongName
|
explained that " " was about " ". He elaborated further on the meaning of the track released on the "Lyrics1stPera".
If you are searching Other song's Lyrics then you are on the right post. So without wasting time let's jump on to other Song Lyrics.